Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba waomba poo Bodi ya Ligi

Imani Kajula CEO wa Simba, Imani Kajula

Tue, 3 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

CEO wa klabu ya Simba SC, Imani Kajula ameiomba bodi ya ligi iwaondolee mchezo wa ligi kuu dhidi ya Singida fountain gate Liti ili wachezaji wapumzike wajiandae na mechi dhidi ya Al-Ahly 20 October 2023.

"Tuna imani na benchi letu la ufundi, tuwape muda watafanyia marekebisho kuhusu maoni ya mashabiki na wanachama"

"Tuna ratiba ngumu sana, tutacheza na Tanzania Prisons October 5 ugenini, kisha Singida fountain gate ugenini October 8 halafu Al Ahly October 20. Tungeomba bodi ya ligi ituondolee mchezo dhidi ya Singida fountain ili tuweze kujiandaa vizuri na wachezaji wapumzike kwa sababu wametoka kwenye mechi ngumu

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: