Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba wanakosea wapi? Hebu Tuulizane

Shekhani Yanga Shekhan Ibrahim

Fri, 15 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Simba walikuwa na nafasi ya kumsajili Kiungo Mahiri wa Yanga, Maxi Mpia Nzengeli wakachelewa kufanya maamuzi Yanga wakapita nae.

Simba hawa hawa walikuwa wa kwanza kumuhitaji Stephane Aziz Ki Kisha Yanga wakapita nae.

Simba walikuwa kwenye nafasi mzuri kumnasa Shekhan Ibrahim mwisho wa siku Yanga wamepita nae na tayari tumesikia mambo mengi yaliyokwamisha usajili wa kinda huyo kwenda Msimbazi.

Simba wanatakiwa kuwa makini kwenye sajili zao. La sivyo wataendelea kuingia katika gharama kubwa zisizo za lazima.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: