Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba waitaka saini ya Kibabage, Yanga watakubali?

Nickson Kibabage Vvv Mlinzi wa Yanga, Nicksone Kibabage

Thu, 14 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kwa mujibu wa ripoti kutoka ndani ya klabu ya Yanga zinaeleza kuwa beki wa kushoto wa klabu hiyo Nickson Kibabage yupo kwa mkopo kutokea klabu ya Singida Fountain Gate na mkopo wake utafika tamati baada ya msimu huu kumalizika.

Hata hivyo klabu ya Simba inadaiwa imeanza mazungumzo na klabu ya Singida Fountain Gate ili kuinasa saini ya nyota huyo ambaye alisajiliwa na Singida akitokea Mtibwa Sugar.

Thamani ya Kibabage kwa sasa sokoni ni zaidi ya Million 200.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: