Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba waingia anga za Kimataifa, wasaini Mkataba na Timu ya Armenia

Simba SC Viongozi Simba waingia anga za Kimataifa, wasaini Mkataba na Timu ya Armenia

Wed, 7 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Simba SC leo imeingia mkataba wa ushirikiano na timu ya West Armenia Football Club.

Simba SC leo imeingia mkataba wa ushirikiano na timu ya West Armenia Football Club. Mkataba huu wa ushirikiano unatoa fursa kwa kuuziana wachezaji, maendeleo ya ufundi, soka la vijana na maendeleo ya soka.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: