Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba waigaragaza Yanga viwango vya ubora CAF

Inonga Simba Yanga Simba waigaragaza Yanga viwango vya CAF

Mon, 24 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Viwango vya ubora kwa Klabu vilivyotolewa na CAF 2022-2023 imevitaja vilabu vitatu vya Tanzania katika orodha hiyo, ambavyo ni

Simba SC

Yanga SC

Namungo FC

Katika orodha hiyo Simba SC imeshika nafasi ya tisa (9) wakati Yanga SC ikishika nafasi ya kumi na nane (18) kwa Ubora Afrika.

Tazama List Kamili hapa chini kisha tuambie umeiona Timu yako? iko nafasi ya ngapi?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: