Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba waichapa KMC bao 1, vita nafasi ya pili bado mbichi

Simba Vs KMC Arusha.jpeg Simba waichapa KMC bao 1, vita nafasi ya pili bado mbichi

Sat, 25 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Simba SC imeibuka na ushindi mwembamba wa goli 1-0 dhidi ya KMC mchezo uliopigwa katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha.

Bao pekee la Simba SC katika mchezo wa leo limewekwa kimiani na Kiungo Mshambuliaji Said Ntibazonkiza 'Saido' dakika ya 3 ya mchezo.

Ushindi huo umeifanya Simba kufikisha alama 66 katika nafasi ya tatu sawa na Azam FC huku Si,mba akizidiwa kwa tofauti ya mabao 8.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: