Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba waichapa Coastal Union Mkwakwani, Onana arudi na moto

Onana Goal Mkwakwani.jpeg Simba waichapa Coastal Union Mkwakwani, Onana arudi na moto

Sat, 9 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wekundu wa Msimbazi, Timu ya Simba SC imechukua alama zote tatu mbele ya Wagosi wa Kaya katika dimba la Mkwakwani, Tanga.

Mabao ya Simba katika mchezo wa leo yamefungwa na Kouablan 11’ huku bao la pili likipachikwa na Onana 73’.

Bao pekee la Coastal limefungwa na Kikoti 25’.

Simba imefikisha pointi 39 baada ya mechi 17 na inaendelea kusalia nafasi ya tatu kwenye msimamo wa NBCPL.

Simba Sc imeruhusu magoli 17 kwenye mechi 17 mpaka sasa kwenye Ligi Kuu bara ikiwa ni wastani wa kufungwa goli moja kila mechi.

Msimamo wa Timu tatu za Juu

1. Yanga — mechi 17 — Pts 46

2. Azam — mechi 20— Pts 44

3. Simba — mechi 17 — Pts 39

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: