Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba vs Singida kupigwa saa 2 usiku

Simba Vs Singida FG Simba vs Singida kupigwa saa 2 usiku

Tue, 12 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Simba na Singida FG uliopangwa kuchezwa saa 1: 30 usiku umebadilishwa muda tena na hivyo utachezwa saa 2:15 usiku kwenye uwanja wa Azam Complex Chamazi.

Mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Simba na Singida FG uliopangwa kuchezwa saa 1: 30 usiku umebadilishwa muda tena na hivyo utachezwa saa 2:15 usiku kwenye uwanja wa Azam Complex Chamazi. Hapo awali Ofisa Habari wa Bodi ya Ligi, Karim Boimanda aliliambia mwanaspoti kuwa mchezo huo utachezwa saa 1:30 usiku.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: