Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba mpo? Al Ahly wachimba mkwara mzito

Mahmoud El Khatib JPK Rais wa Klabu ya Al Ahly SC ya Misri Mahmoud El khatib

Wed, 6 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa Klabu ya Al Ahly SC ya Misri Mahmoud El khatib amesema Wamedhamiria kubeba mataji yote wanayoshiriki kimataifa ili kuikimbiza rekodi ya Dunia.

Mataji wanayoshiriki Al Ahly ya Kimataifa ni;

African Football League

CAF Champions league

FIFA Club World Cup

Katika Michuano ya African Football League Ahly watacheza na Simba SC Oktoba 20 huku Simba wakitamba kuiondosha Klabu hiyo Kongwe Barani Afrika.

Je, Simba watavuka kiunzi hiki kigumu? Tupe maoni yako

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: