Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba kutest mitambo leo Uturuki

Simba Saido Uturuki.jpeg Simba kutest mitambo leo Uturuki

Mon, 24 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kikosi cha Simba leo saa 10 jioni kitacheza mchezo wa kwanza wa kirafiki dhidi ya Zira FC "The Eagles" utakaofanyika katika Uwanja wa Bolu hapa Uturuki.

Zira ni Timu inayoshiriki Ligi Kuu nchini Azerbaijan na ipo Uturuki kwa ajili ya Kambi ya maandalizi kujiandaa na msimu mpya wa Mashindano 2023/24 kama ilivyo kwetu.

Hii ni mechi ya kwanza ya kirafiki tangu wafike Uturuki na italipa mwanga benchi la ufundi kuona jinsi gani wachezaji wanaelewa mafunzo wanayowapa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: