Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba kushusha beki wa Timu ya Taifa ya Rwanda

Skipper Thierry Manzi Chats With Simba kushusha beki wa Timu ya Taifa ya Rwanda

Tue, 23 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Simba ipo katika harakati za kusuka upya kikosi chake na sasa imetua kwa beki na nahodha msaidizi wa timu ya taifa ya Rwanda Thierry Manzi ambaye kwa sasa yupo nchini Ubelgiji.

Manzi ni beki wa kati anayemudu kucheza namba nne na tano akitumia vyema miguu yote kwa ufasaha na anasifika kwa kukaba, kuanzisha mashambulizi na ni mkali wa kucheza mipira ya juu.

Hawa ni baadhi ya Wachezaji ambao wanapambiwa na klabu ya Simba ili kuzipata saini zao kwenye dirisha lijalo la uhamisho.

Zougrana Mohamed

Harvy Ossete

Richard Boadu

Morice Chukwu

Gatoch Panom

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: