Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba kumtangaza Balua leo?

Edwin Balua Edwin Balua

Mon, 15 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Simba SC hii leo inatarajia kumtangaza Winga, Edwin Balua kama Mchezaji wao mpya akitokea Klabu ya Prisons akiwa ni usajili wa tatu kwenye dirisha hili.

Klabu ya Simba SC hii leo inatarajia kumtangaza Winga, Edwin Balua kama Mchezaji wao mpya akitokea Klabu ya Prisons akiwa ni usajili wa tatu kwenye dirisha hili. Taarifa zinasema, Simba haitaongeza Mchezaji mwingine baada ya utambulishi huo wa leo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: