Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba kumkosa Onana leo

Onana Ndani Simba kumkosa Onana leo

Thu, 15 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Simba itamkosa nyota wake Leandre Willy Essomba Onana kwenye mchezo wake dhidi ya JKT Tanzania utakaopigwa leo saa 10 Jioni.

Klabu ya Simba itamkosa nyota wake Leandre Willy Essomba Onana kwenye mchezo wake dhidi ya JKT Tanzania utakaopigwa leo saa 10 Jioni. Onana hajaonekana kwenye michezo iliyopita ya Simba tangu Ligi iliporejea kutoka mapumziko mafupi kutokana na majeraha aliyoyapata nyota huyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: