Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba kuendelea pale pale walipoishia

Simba Squad Warm Up.jpeg Simba kuendelea pale pale walipoishia

Fri, 27 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Simba kesho itashuka dimbani kwa mara ya kwanza baada ya kutoka kumaliza michezo yake ya AFL walipotolewa dhidi ya Al Ahly.

Hadi hivi sasa kwenye Ligi Simba haijapoteza mchezo wowote katika michezo mitano iliyocheza ya Ligi.

Kesho itashuka dimbani dhidi ya mbabe wa klabu ya Yanga, klabu ya Ihefu, Je, Ihefu itaendelea kutembeza kichapo kwa wakubwa ? Au Yanga atalipiwa kisasi na mnyama kesho ?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: