Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba kuajiri bosi idara ya usajiri wa wachezaji

Mgunda Simba Gd Simba kuajiri bosi idara ya usajiri wa wachezaji

Tue, 23 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kipindi cha miaka miwili klabu ya Simba kushindwa kusajili wachezaji bora wanaoendana na ukubwa wa Simba.

Imearifiwa kuwa, Mwekezaji wa timu hiyo, Mo Dewji amekubali mpango wa kuajiriwa kwa mkuu wa kitengo cha kusajili wachezaji.

Pia, imefahamika mtu huyo atakaekuja kwa kazi hiyo siyo mwafrika kuna uwezekano mkubwa mtu huyo akatoka uholanzi au Spain.

Atafanya kazi kwa ukaribu na kocha na timu yake ya ufundi kabla ya kufanya usajili wowote, hakuna tena mwingiliano wa bodi katika usajili.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: