Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba ina asilimia tano tu kubeba Ubingwa African Football League

Simbasctanzania 1695805638773.jpeg Wachezaji wa Simba SC

Mon, 16 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kuelekea katika michezo ya African Football League inayotarajiwa kuanza kurindima Octoba 20 mwaka huu, hizi ni asilimia za uwezekano kwa timu shiriki kubeba Ubingwa.

Michuano hiyo inashirikisha timu nane (8) na nafasi zao ni kama ifuatavyo;

Mamelod Sundowns 23%

Al Ahly 21%

Wydad AC 18%

Esperance 14%

Petro Atletico 12%

TP Mazembe 5%

Simba 5%

Enyimba 2%

Mahesabu haya ni kwa mujibu wa Africa Soccer Zone. Je Unadhani wako sahihi? Tupe maoni yako Juu ya uwezekano wa Simba kuwa Bingwa wa Michuano hiyo

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: