Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba! huyu hapa anafaa kumrithi Benchikha Msimbazi

Al Hilal Yaharibu Dili La Ibenge Azam FC Florent Ibenge

Fri, 3 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Simba SC Tanzania ikiwa itaamua kutafuta kocha Mkuu atakayechukua nafasi ya Juma Mgunda anayekaimu nafasi hiyo kwa sasa, Flolent Ibenge wa Al Hilal anaweza kutazamwa kama mbadala halisi katika nafasi hiyo.

Mwandishi wa Habari, Micky jnr amedokeza kwamba tayari Ibenge amejadiliwa kuchukua nafasi hiyo.

Simba iliachana na Kocha wao Raia wa Algeria Abdelhak Benchikha mwishoni wa wiki iliyopita>

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: