Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba: Tunazungumza na Mashirikisho walioitwa wawahi kurudi

Ahmed Ally AFL.jpeg Ahmed Ally, Ofisa Habari wa Simba SC

Wed, 11 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kuelekea mchezo wa African Football League klabu ya Simba imesema timu hiyo itaingia kambini kesho Alhamisi Oktoba 12, 2023 kwa ajili ya kujiweka sawa kwa ajili ya mchezo huo dhidi ya vigogo wa Misri Al Ahly katika dimba la Benjamin Mkapa.

Kuelekea mchezo wa African Football League klabu ya Simba imesema timu hiyo itaingia kambini kesho Alhamisi Oktoba 12, 2023 kwa ajili ya kujiweka sawa kwa ajili ya mchezo huo dhidi ya vigogo wa Misri Al Ahly katika dimba la Benjamin Mkapa. Aidha Simba SC imezungumzia wachezaji walioitwa kwenye timu zao za Taifa ambapo Meneja wa habari na mawasiliano wa klabu hiyo Ahmed Ally amebainisha kuwa klabu inaendelea na mazungumzo na mashirikisho ili wachezaji waliotwa wawahi kurudi kwa ajili ya kujiandaa kwa ubora zaidi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: