Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba Sc yajipigia Kipanga FC

Kramoo Kipanga Simba Sc yajipigia Kipanga FC

Sat, 2 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Simba SC leo asubuhi imecheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Kipanga FC ya Visiwani Zanzibar na kufanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-0.

Wafungaji wa mabao hayo ni; -Moses Phiri dakika 21' -Luis Miquisone dakika 41' -Aubin Kramo dakika 70'.

Huu ni mwendelezo wa Simba Sc kujiweka sawa kabla ya kwenda kwenye michuano ya kimataifa wakianza Power Dynamos ya Zambia kisha michuano ya African Football League.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: