Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba SC wazindua Baraza la Ushauri

GB4HeIiaMAAKvU .jpeg Simba SC wazindua Baraza la Ushauri

Thu, 21 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Simba leo Desemba 21, 2023 imezindua Baraza la Ushauri la Wekundu hao wa Msimbazi lenye wajumbe 20 litaongozwa na Jaji mstaafu Thomas Mihayo kama Mwenyekiti wake na litakuwa na kazi ya kushauri uongozi wa Simba.

Klabu ya Simba leo Desemba 21, 2023 imezindua Baraza la Ushauri la Wekundu hao wa Msimbazi lenye wajumbe 20 litaongozwa na Jaji mstaafu Thomas Mihayo kama Mwenyekiti wake na litakuwa na kazi ya kushauri uongozi wa Simba. Wajumbe wa Baraza hilo ni viongozi wa zamani wa Simba ambao ni hazina kubwa katika maendeleo ya Klabu hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: