Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba SC kuanza mazoezi leo kumaliza mechi za Ligi

Simba Tizi Wachezaji wa Simba SC

Wed, 17 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kikosi cha Simba kinatarajiwa kuanza mazoezi kesho kufuatia mapumziko ya baada ya mchezo wa Ijumaa dhidi ya Ruvu Shooting wakiibuka na ushindi wa 3-0 Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.

Kikosi cha Simba kinatarajiwa kuanza mazoezi kesho kufuatia mapumziko ya baada ya mchezo wa Ijumaa dhidi ya Ruvu Shooting wakiibuka na ushindi wa 3-0 Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Simba SC imebakiza mechi mbili za Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Polisi Tanzania na Coastal Union zote nyumbani, Dar es Salaam.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: