Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba Queens yashusha winga toka Congo

Isabelle Diakiese Isabelle

Wed, 15 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kikosi cha Simba Queens kimefanikiwa kupata saini ya winga Diakiese Isabelle kutoka klabu ya Feminin Espoir kwa mkataba wa miaka miwili.

Diakiese anakuwa mchezaji wa kwanza kusajiliwa na Simba Queens kuelekea kuanza msimu mpya wa mashindano 2023/24 ambao unatarajiwa kuanza Desemba 15.

Tayari winga hiyo amejiunga na wenzake kambini na anaendelea na mazoezi chini ya kocha Mussa Hassan Mgosi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: