Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba: Kifo cha Ahly kipo mikononi mwetu, tushindwe sisi tu

Simba Wawaita Mashabiki Kwa Mkapa 'kumuua' Mwarabu.jpeg Simba: Kifo cha Ahly kipo mikononi mwetu, tushindwe sisi tu

Mon, 25 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

“Wanasimba wote wana imani na matumaini makubwa kwamba tunakwenda kufanya vizuri kwenye mchezo wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika Machi 29, 2024 [Simba V/s Al Aly].”

“Kwa ubora tuliokuwanao tunaamini Mnayama anakwenda Nusu Fainali, kifo cha Al Ahly kipo mikononi mwa Mnyama Simba SC”

“Benchikha ni moja kati ya silaha zetu muhimu sana ,Benchikha ni mwalimu mkubwa mwenye wasifu mkubwa , ndio maana tunasema hii mechi ni ya mkondo mmoja tu, tutahangaika tuhakikishe tunaimalizq hii mechi Dar es Salaam”

“Uwezo wa kushikilia bomba Simba SC tunao,dhidi ya Wydad tulishikilia bomba mpaka dakika ya 93 makosa kidogo tu wakatuadhibu”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: