Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba Bingwa Kombe la Muungano, waichapa Azam FC

IMG 6836.jpeg Simba Bingwa Kombe la Muungano 2024

Sat, 27 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Simba SC imefanikiwa kutwaa Kombe la Muungano baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Azam FC katika mchezo wa Fainali usiku huu Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzíbar.

Pongezi kwa mfungaji wa bao hilo pekee, kiungo Msenegal, Babacar Sarr, dakika ya 77 akimalizia Moira wa adhabu uliopigwa na kiungo Mkongo, Fabrice Luamba Ngoma kufuatia mshambuliaji Mcameroon, Leandre Willy Essomba Onana kuangushwa nje kidogo ya boksi.

Hilo linakuwa taji la pili kwa Simba SC msimu huu baada ya kuanza na taji la Ngao ya Jamii wakimfunga mtani, Yanga Agosti mwaka jana Jijini Tanga.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: