Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba, Azam kukiwasha kesho Azam Complex

Simba Msg Wachezaji wa Simba SC

Tue, 30 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati Simba SC wakijiandaa kesho kurejea dimbani kwenye mchezo wao wa kombe la shirikisho la Azam (ASFC) dhidi ya Tembo FC, mchezo utakaochezwa kwenye uwanja wa Azam Complex Chamazi, unaambiwa nao Azam FC hii leo wametangaza kuwa watacheza mchezo wao wa kirafiki dhidi ya KVZ katika viunga hivyo hivyo vya Azam Complex kwenye uwanja wa nyasi asili, kesho majira ya 10:30 jioni, ambapo mchezo huo hautakuwa na mashabiki (closed doors).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: