Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sifa hii bado inatembea na Miquissone

Jose Luis Miquissone Dau Jose Luis Miquissone

Fri, 4 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Doesn't matter ataperform vipi kwenye ligi lakini sifa ya kuamua mechi kubwa na muhimu haiondoki kwa mchezaji. Na sifa hii muhimu anayo Staa mpya wa Simba Jose Luis Miquissone.

Nusu fainali mbili za FA alifunga, fainali dhidi ya Namungo 2020 alifunga na ku-assist, mechi kubwa na muhimu dhidi ya Ahly...Ni kama Torres ambaye alikuwa Liverpool.

Mechi za mtoano dhidi ya Inter na Real Madrid alivyokuwa anascore na kuziamua pia lakini hata baada ya kwenda Chelsea na kushindwa kuwa consistent kwenye ligi lakini nusu fainali za ligi ya mabingwa na klabu bingwa ya dunia zote alifunga na kuisaidia timu yake kutwaa mataji hayo...hichi kitu hukiondoi kwa mchezaji.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: