Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Shaffih Dauda: Simba hii hata ukiiangalia bar unasinzia

Shaffih Dauda Xtra Shaffih Dauda

Fri, 22 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya Jana Septemba 21 kuichapa Coastal Union mabao 3-0 yakiwekwa wavuni na Straika Mkongo Jean Baleke.

Mashabiki na wapenzi wengi wa Simba wameonesha kufurahishwa na ushindi huo huku wakiona kuwa Simba ile wanayoiota ndio inarudi.

Lakini Licha ya ushindi huo hali ni tofauti kwa Mchambuzi wa Michezo kutoka Clouds FM, Shaffih Dauda ambae kitaalamu anaona Simba hawakuwa na mchezo mzuri.

Akizungumza Shaffih anasema;

"Achana na idadi ya magoli yaliyofungwa na Simba leo,kwa aina ya timu iliyokutana nayo na aina ya mchezo ulivyokuwa ilikuwa ni nafasi ya kutupa mechi safi tofauti na hii tuliyoiona. Simba hii hata ukiangalia bar unasinzia"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: