Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Shabiki Yanga: Kipigo cha Kesho kitamfukuzisha kazi Ahmed Ally (+Video)

Tumezoea Kuingia Robo Fainali   Ahmed Ally.jpeg Meneja wa habari na mawasiliano Simba Sc, Ahmed Ally

Fri, 19 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kuelekea mchezo wa Dabi kati ya Yanga na Simba utakaopigwa kesho mratibu wa Matawi ya Yanga Dar es Salaam Shabani Mgonja amesema mechi hii ndiyo itakayo mfukuzisha kazi msemaji wa Simba Ahmed Ally kutokana na kauli aliyoitoa kwamba iwapo Yanga watafanikiwa kushinda mabao manne atajiuzulu.

Tazam Video hapa chini usikilize kilichozungumzwa;

View this post on Instagram

A post shared by Mwanaspoti (@mwanaspoti_tz)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: