Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Shabiki Simba: Tunataka Wachezaji wenye bei kama ya Aziz KI

Stepahne Aziz KI Ahadi Shabiki Simba: Tunataka Wachezaji wenye bei kama ya Aziz KI

Wed, 29 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Licha ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya JKT Tanzania, Klabu ya Simba imemaliza katika nafasi ya 3 msimamo wa Ligi Kuu Bara Ligi ambayo imemalizika jana Mei 28.

Mashabiki wa Simba wameoneshwa kusikitishwa na nafasi hiyo lakini wametoa ushauri kwa uongozi wa Klabu wakitaka wachezaji Bora hata kama watakuwa na bei kubwa.

Akizungumza Shabiki anasema,

"Tunataka Wachezaji wa bei kubwa ambao wanaweza kupambania timu kama vile Aziz Ki”

sikiliza Video hapa Chini;

View this post on Instagram

A post shared by Maulid Kitenge (@maulidkitenge)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: