Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Saido kujiunga na APR ya Rwanda

Saido Ntibanzonkiza  Double Kiungo wa Simba SC, Saido Ntibazonkiza

Tue, 26 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya APR FC ya Rwanda imeonyesha nia ya kumsajili nyota wa kimataifa wa Burundi Saido Ntibanzokinza ambaye amebakiza miezi 6 kwenye mkataba wake na Simba SC.

Saido alisaini mkataba wa mwaka mmoja na nusu Disemba 2022 akitokea kwenye klabu ya Geita Gold.

Saido anahitaji mkataba wa miaka miwili lakini Simba hawapo tayari kumpa mkataba mpya wa muda huo nyota huyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: