Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sadio Kanoute alivyokuja na ramani ya mabadiliko Simba vs Ahly

Sadio Kanoute Second Goal.jpeg Sadio Kanoute

Sat, 21 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Sadio Kanoute Putin mimi napenda kumuita Midfielder Dynamo.

To be honest kipindi cha pili kijana kabadilisha mchezo mzima.....kwanza kaongeza kasi ya mchezo,fujo kwenye pressing na urefu wa feet 6'2 kwenye box la Al ahly.

Kipindi cha kwanza Simba hawakuwa vizuri kwenye kuzuia kwani muda mwingi walikaba nafasi (zonal Marking) kwenye 4-2-3-1 mid-block kuliko kutembea na mtu (man 2 man marking) hivyo Al ahly walipata mianya mingi ya kupenya kati kati ya uwanja na kumsumbua mnyama.

Lakini kipindi cha pili baada ya Kanoute kuingia Simba walitoka kwenye Mid-block na kuanza kufanya High pressing kwa fujo kitu kilichopelekea Al ahly kufanya makosa mengi na kuruhusu goli mbili.

Heshima kwa Sadio Kanoute

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: