Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sadio Kanoute, Silaha hatari ya hewani kwa Simba SC

Sadio Kanoute Hewani.jpeg Sadio Kanoute, Silaha hatari ya hewani kwa Simba SC

Wed, 7 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa Simba SC, Sadio Kanoute 'Putin' ndie mchezaji hatari zaidi hewani kwenye matukio ya kushambulia pale Simba na pengine kwenye ligi yetu kwa ujumla.

Kiungo wa Simba SC, Sadio Kanoute 'Putin' ndie mchezaji hatari zaidi hewani kwenye matukio ya kushambulia pale Simba na pengine kwenye ligi yetu kwa ujumla. Licha ya kazi chafu, nishati na kusomba kwake kadi za njano lakini Kanoute ni hatari kubwa sana kwa wapinzani akiwa anawania mipira ya juu karibu na lango lao jumlisha na yale mabomba yake kutokea mbali mguu ukinyooka siku moja moja.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: