Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Robertinho amletea Mgunda Mbrazil mwenzake

Robertinho X Mbrazil Robertinho amletea Mgunda Mbrazil mwenzake

Fri, 14 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Taarifa za kwamba Klabu ya Simba inatarajia kumtangaza Kocha Mbrazil,Jose Marcelo Cardoso kuwa Kocha Msaidizi wa Roberto Oliveira 'Robertinho' akichukua nafasi ya Juma Mgunda ambaye huenda akaachwa au akapewa timu ya Wanawake ya Simba Queens.

Robertinho kwa sasa anaonekana kuhitaji kufanya kazi na Timu ya wataalamu ambayo anaitaka yeye.

Mgunda hajasafiri na Timu kuelekea kambi Uturuki na inaelezwa atabadilishiwa majukumu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: