Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Robertinho: Wachezaji wakifata maelekezo yangu tunatoboa kwa mtani

Robertinho 5.jpeg Kocha Mkuu wa Simba, Roberto Oliveira ‘Robertinho’

Wed, 1 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa Simba, Roberto Oliveira ‘Robertihno’ maarufu kama mtaalam wa soka la malengo ‘Objective football’, ameiambia Mwanaspoti anatambua ubora wa wachezaji wa Yanga kwani ni miongoni mwa timu bora na yenye ushindani hasa kwenye ligi lakini timu yake itakuja kwenye mchezo huo kwa ubora mkubwa.

Kocha wa Simba, Roberto Oliveira ‘Robertihno’ maarufu kama mtaalam wa soka la malengo ‘Objective football’, ameiambia Mwanaspoti anatambua ubora wa wachezaji wa Yanga kwani ni miongoni mwa timu bora na yenye ushindani hasa kwenye ligi lakini timu yake itakuja kwenye mchezo huo kwa ubora mkubwa. Robertinho ambaye ni raia wa Brazili mwenye uzoefu na soka la Afrika, alisema endapo wachezaji wake watacheza kwa ubora kama ambavyo walicheza mchezo wa pili wa marudiano dhidi ya Al Ahly ya Misri, hana presha ushindi utakuwa kwao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: