Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rekodi za kibabe za Simba mbele ya Coastal

Simba SC Kwa PD Rekodi za kibabe za Simba mbele ya Coastal

Thu, 21 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Katika Michezo mitano ya mwisho kwa Simba na Coastal Union kukutana , Simba hawajawahi kufungwa mchezo wowote na Coastal Union huku wakishinda michezo minne na kutoa sare mchezo mmoja.

Tangu mwaka 2015 Simba wamekutana na Coastal Union mara 12 huku Simba ikishinda mara 10 na Coastal Union wakipata sare kwenye michezo 2.

Ushindi mkubwa ambao Simba aliupata dhidi ya Coastal Union ikiwa ni 8-1 mwaka 2019 na 7-0 mwaka 2020.

Leo Mnyama kuendeleza rekodi yake mbele ya Coastal Union?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: