Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rasmi: Simba yamtangaza kipa mpya kutoka Morocco

Morocco Kipa Ms Simba yatangaza kipa mpya kutoka Morocco

Sat, 12 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Simba imethibitisha kukamilisha usajili wa kipa, AYOUB LAKRED kutoka FAR Rabat ya Morocco kwa Mkataba wa miaka miwili.

Lakred (28) ameiongoza FAR Rabat kushinda ubingwa wa Ligi Kuu ya Morocco na kuifikisha Nusu fainali ya CAFCC.

Lakred anakuja Tanzania na medali ya ubingwa wa Ligi kuu ya Morocco aliyoivaa wiki kadhaa zilizopita.

Anakuja na kumbukumbu ya mwisho ya Kimataifa kwake ni kucheza robo fainali ya Kombe la Shirikisho Africa akiwa na AS Far Rabat.

Amekuja Kipa aliyekua akiitwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Morocco inayocheza fainali za CHAN.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: