Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rage: Simba inakwenda Robo Fainali CAF

Rage 0001 Mwenyekiti wa zamani wa klabu ya Simba Ismail Aden Rage

Mon, 13 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwenyekiti wa zamani wa klabu ya Simba Ismail Aden Rage anaipa nafasi klabu ya Simba kufuzu hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika.

Mwenyekiti wa zamani wa klabu ya Simba Ismail Aden Rage anaipa nafasi klabu ya Simba kufuzu hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika. Rage ameipa nafasi Simba na Wydad AC kufuzu hatua ya robo fainali msimu huu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: