Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

RATIBALIGIKUU: Simba kufungua Pazia la Ligi ugenini

Simba SC Kikosi Kipya.jpeg Je watatimiza dhamira ya kunyakua Ubingwa msimu huu

Mon, 7 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Simba SC itaanzia mechi ya Ligi Kuu Bara 2023/24 katika uwanja wa Manungu mkoani Morogoro Agosti 17.

Mechi ya mwisho Simba kucheza Manungu ilishinda mabao 3-0 yakifungwa na Jean Baleke msimu uliopita 2022/23.

Je unawapa ushindi au watakutana na kitu chenye ncha kali? Tuachie Commeny yako

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: