Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Prison wawekewa milioni 25 kuiua Simba

Prisons 25 Milioni Kikosi cha Tanzania Prisons wakiendelea kujifua

Thu, 5 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Uongozi wa klabu ya Tanzania Prisons kwa kushirikiana na baadhi ya wadau umetoa motisha katika timu yao ili kuepuka kichapo leo dhidi ya Simba.

Uongozi wa klabu ya Tanzania Prisons kwa kushirikiana na baadhi ya wadau umetoa motisha katika timu yao ili kuepuka kichapo leo dhidi ya Simba. Katika kikao hicho viongozi pamoja na wadau wametoa ahadi ya Tsh. 25 milioni kwa wachezaji endapo watapata Ushindi dhidi ya Simba.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: