Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Power Dynamos kumng'oa Moses Phiri Msimbazi

Phirii Goal.jpeg Moses Phiri

Mon, 6 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Power Dynamos ya nchini Zambia imeanza kuulizia upatikanaji wa mshambuliaji wa Simba SC, Mosses Phiri anaechezea kwenye klabu hiyo Kwa mkopo.

Klabu ya Power Dynamos ya nchini Zambia imeanza kuulizia upatikanaji wa mshambuliaji wa Simba SC, Mosses Phiri anaechezea kwenye klabu hiyo Kwa mkopo. Tetesi zinaeleza kuwa Moses Phiri mwenyewe hataki kurejea tena kwenye kikosi cha Simba SC anatamani kusalia ndani Power Dynamos na mkataba wake wa mkopo unamalizika mwishoni mwa msimu huu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: