Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Pa Omar Jobe anapoanza kuleta faida Simba SC

Pa Omar Jobe Goal.jpeg Pa Omar Jobe

Wed, 7 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mpaka sasa kwa namna nilivyomuona Pa Omar Jobe anaonekana haitaji nafasi nyingi ili afunge, 9/10 mpira ukimkuta kwenye eneo karibu na lango utaukuta wavuni.

Freddy kamchukua mtu kifaza yani alafu kapiga kafunga kama hataki vile... Anajua mwenyewe alichokifanya pale.

Simba kama watampa ushirikiano wa kutosha basi wana nafasi ya kuwa na miongoni mwa washambuliaji wenye uwezo wa kufunga magoli.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: