Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Oscar Oscar: Kumuacha Lakred ni kumuonea (+Video)

Oscar X Lakred Oscar Oscar: Kumuacha Lakred ni kumuonea

Tue, 17 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati walio wengi wakijadili kiwango cha Mlinda mlango wa Simba raia wa Morocco Ayoub Lakred kuwa sio cha kuridhisa.

Kuna taarifa zinazodai kuwa Golikipa huyo yuko mguu nje mguu ndani katiuka kikosi cha Wekundu wa Msimbazi baada ya mabosi kutoridhishwa na kiwango chake.

Sasa Mchambuzi wa michezo kutoka Wasafi FM, Oscar Oscar amemkingia kifua golikipa huyo na kutaka apewe nafasi.

Akizungumza Oscar Oscar anasema;

View this post on Instagram

A post shared by Wasafi FM (@wasafifm)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: