Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Onyango awindwa Gor Mahia, Singida BS

Joash Onyango Joash Onyango

Tue, 6 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Gor Mahia ya nchini Kenya imeanza mazungumzo na beki wa Simba, Joash Onyango kwa ajili ya msimu ujao.

Beki huyo raia wa Kenya licha ya kucheza mara kwa mara ndani ya kikosi hicho, huenda akarejea kwao baada ya msimu huu kuisha kutokana na kile kinachoonekana kutokubalika na mashabiki wengi.

Aidha itambulike pia licha ya Gor Mahia kumhitaji, Singida Big Stars nayo inahitaji saini yake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: