Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Onana, Miquissone gari litawaacha

Onana Simba 505 1140x640.png Onana, Miquissone gari litawaacha

Tue, 24 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bado Luis Miquissone sio yule ambaye mashabiki wa Simba walimtarajia kwamba angewapa ubora ule ambao aliondoka nao kwenda Al Ahly ya nchini Misri.

Simba wanaikimbiza ndoto yao ya kufika angalau Nusu Fainali ya Ligi Mabingwa Afrika ila nawaona Luis Miquissone na Willy Onana Esomba ni kama gari linaweza kuwaacha njiani.

Kelele zilikuwa nyingi wakati wa usajili wa Onana ila hadi sasa mashabiki wa Simba hawamuelewi na hata mchezo wa jana vs Al Ahly hawakufurahishwa na mchango wake kwa dakika 13 alizocheza.

Luis Miquissone anautafuta ubora wake,sidhani kama Simba wataendelea kuwa wavumilivu kwa muda mrefu juu ya Miquissone,na kama Onana asipobadilika basi dirisha dogo panga linaweza kumkuta shingoni.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: