Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Okrah auwasha moto Ghana, Bongo alikwama wapi?

Okrah Augustine Simba.jpeg Augustine Okrah

Sat, 18 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo mshambuliaji wa zamani wa Simba, Augustine Okrah anakiwasha huko kwao Ghana Bechem United FC.

Okrah aliachana na Simba ambako muda mwingi alikuwa anauguza majeraha na kufikia hatua ya kuvunjiwa Mkataba.

Takwiku zake hizi hapa!

Mechi - 7

Magoli - 5

Tuzo ya Mchezaji bora kwa mechi - 1

Tanzania alikwama wapi?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: