Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nyota watatu Simba kuwakosa Namungo

Kanoute X Kibu X Mwenda Nyota watatu Simba kuwakosa Namungo

Wed, 8 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota watatu wa Simba SC wanatazamiwa kuukosa mchezo wa Simba dhidi ya Namungo kesho Novemba 9 Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.

Wachezaji hao ni pamoja na winga Kibu Denis (enka), mlinzi Israel Mwenda na Kiungo raia wa Mali Sadio Kanoute.

Simba wanaingia katika mchezo huo wakiwa na kumbukumbu mbaya baada ya kutoka kupokea kichapo cha magoli 5-1 kutoka kwa Yanga.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: