Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nyota wa zamani wa Simba afariki Dunia

Abbas Kuka Afariki Nyota wa zamani wa Simba Abbas Kuka amefariki dunia

Sun, 31 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa zamani wa Simba Abbas Kuka amefariki dunia usiku wa Jana Machi 30.

Nyota wa zamani wa Simba Abbas Kuka amefariki dunia usiku wa Jana Machi 30. Taarifa zinasema mchezaji huyo akitamba Simba miaka ya 1980 mpaka mwanzoni mwa 1990 amefikwa na umauti huo akiwa msikitini baada ya kuanguka alipotoka Msikitini usiku wa jana Magomeni Jijini Dar es Salaam.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: