Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ngoma ndiye mpiga pasi mzuri Simba - Mchambuzi

Ngoma Pics Fabrice Ngoma

Sat, 23 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchambuzi wa masuala ya soka nchini kupitia East Africa Radio, Abissay Stephen amesema kuwa Klabu ya Soka ya Simba Sc ina mtu mmoja tu ambaye ni mpiga pasi mzuri kwenye eneo la kiungo.

Ngoma ambaye ni raia wa Congo DR amesajiliwa Simba SC msimu huu akitokea Al Hilal ya Sudan.

"Simba eneo la kiungo ambalo ni uti wa mgongo wa kucheza Lunyasi lina wachezaji mbao sio Passers wazuri (wapiga pasi wazuri), sasa hivi namwona Ngoma peke yake, sasa yule peke yake hawezi.

"Si huwa tunamuona anaingia kuna mechi ya juzi ameanza unamuona as a player very composed, anachukua mpira kwenye tight angle anageuka anaburuza mpira vizuri, anauomba anapewa anaburuza mpira vizuri, anaowapa wanafanya nini? wanageuka, wanakimbia, wanapokonywa, timu inaanza kukaba," amesema Abissay Stephen.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: