Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nasri Khalfan: Chama ni miongoni mwa matatizo Simba (+Video)

Nasri X Chama Nasri Khalfan: Chama ni miongoni mwa matatizo Simba

Wed, 5 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Chama Kwa kugoma kwenda kambini Uturuki na wenzake, kusimamishwa na Timu katikati ya Msimu na kuusumbua uongozi kucheza akidai Mkataba wakati mkataba wake ulikuwa haujaisha basi @nasrikhalfan_ anaamini Chama alikuwa miongoni mwa walioifelisha Simba msimu uliopita.

Na wewe unakubaliana na Nasri ama unaamini Simba kuna tatizo lengine? Ni lipi?

View this post on Instagram

A post shared by Wasafi FM (@wasafifm)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: