Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NBCLIGIUPDATES: Hivi hapa vikosi vinavyoanza mchezo wa leo Singida vs Simba

Onana Simba Sd #NBCLIGIUPDATES: Hivi hapa vikosi vinavyoanza mchezo wa leo Singida vs Simba

Sun, 8 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kikosi cha Simba kinashuka Dimbani muda mchache kutoka sasa katika Uwanja wa Liti Mkoani Singida.

Mchezo huo wa Ligi Kuu Bara mzunguko wa tano, unaishuhudia Simba ikitaka alama tatu kwa kila hali ili kurudi kileleni baada ya kushushwa na Azam na Yanga mpaka nafasi ya tatu.

Kwa upande wa Singida wanahitaji alama tatu ili kuhakikisha wanarudi katika nafasi za juu baada ya kuondoshwa katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika.

Tazama vikosi vinavyoanza leo,

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: